Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Yaani dogo umeenda kufukua comments za wiki hizoo

Ulikuwa na test nini??ulipotea.
Yaani dogo umeenda kufukua comments za wiki hizoo

Never give up kwa kitu unachokitaka, mwanaume hasusiHahaha sio kila kitu ni kwaajili ya kila mtu, vingine vina wenyewe special bro.
Na wewe ukamwamini, kwa body hio kweli?! Ila alisema hajaolewa bado!
🤣🤣🤣🤣! Enjoy to the maximum asee huku ukiingia ni jela jela kweli kweli..shost hivi hata sijui nisemeje, ila kuingia ktk ndoa afu ujana hujala n mateso.
Hahaha, hata kama manaume hasusi lakini ukweli sio kila kitu unaweza pata .Never give up kwa kitu unachokitaka, mwanaume hasusi
Alisema mwenyewe najua hawezi danganya 🙃!Na wewe ukamwamini, kwa body hio kweli?
! Enjoy to the maximum asee huku ukiingia ni jela jela kweli kweli..




mie nimeshaingia bhana, nateseka ujana sijala bado.
Labda ukose right person lakini wakubwa wanasema hakuna penye raha kama kwenye ndoa, sasa jela tenaa! Enjoy to the maximum asee huku ukiingia ni jela jela kweli kweli..
🤣🤣🤣🤣🤣! Mi natupia sana mbona nimejipa break !mie nimeshaingia bhana, nateseka ujana sijala bado.
Hebu selfika nikuone mie.
Wewe umejuaje kama huwezi?Hahaha, hata kama manaume harusi lakini ukweli sio kila kitu unaweza pata .
Namaanisha ile uhuru unapungua rafiki Kuna limitations fulani haziepukiki..sijamaanisha jela kama jelaLabda ukose right person lakini wakubwa wanasema hakuna penye raha kama kwenye ndoa, sasa jela tenaa
Afu kna sehemu nimeona mtu anauliza kuwa unaondoka jumla humu ndani, kuwa umeaga kabisa, shida nn?! Mi natupia sana mbona nimejipa break !




Mimi opera tangu asubuhi imegoma kabisa hapa natumia chromeHivi hii JF imekuaje, picha hazifunguki, notification sipati, ku scroll kuna goma goma msieeeew, mie nakerekwa aaaaah.
Afu kna sehemu nimeona mtu anauliza kuwa unaondoka jumla humu ndani, kuwa umeaga kabisa, shida nn?![]()
Ukiona umekosa uhuru ujue kuna makosa fulani, labda lakini waliopo wanajua zaidi tusiwasemeeNamaanisha ile uhuru unapungua rafiki Kuna limitations fulani haziepukiki..sijamaanisha jela kama jela
Yaan Mello afanye aweke mambo sawa, ngoja nikamuambie sasa hivi.Mimi opera tangu asubuhi imegoma kabisa hapa natumia chrome
Unashiba kweli???Vile namaliza mahondaw View attachment 2083566
Najua vizuri mbona sema experience zinatofautiana. Kwa experience yangu kuna uhuru fulani unalazimika kuuacha! Otherwise itakua ndoanoUkiona umekosa uhuru ujue kuna makosa fulani, labda lakini waliopo wanajua zaidi tusiwasemee