Jamaa noma sana.
Halafu sasa utamsikia mwenyewe kwenye maoni yake akisema vijana wake wamecheza hovyo chini ya kiwango
jamaa ana kufuru yule
Akiwakamata nyie mwanitesa mtaimba Halleluya na Bwana..kama sisi tuliwachakaza kama mbwa koko,sasa akiwashika jamaa atajipigia anavyotaka.