Selfika na JF: Snap it. Show it

Nistiri tu Mtumishi. Afu ni perception zao tu. Mbona Anne angeshasema[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kimadende, kitambaza, mchopoano; kweli kiswahili ni kipana jamani. Ahsante sana Mtumishi
 
Nafanyia lamination hii comment. Kelele moja kwa wanyaki wake
Yah! 100%. Wanawake haswaa na hata ukiwa nae huwezi fail maisha kama mwanaume anakuwa na nidhamu, sema wana dharau flani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. nilikuwaga na mmoja alinisaidia sana, sema alifariki ningekuwa mbali sana ningekuwa na yule dada.. kwanza wanapenda Mungu kikweli kweli
 
AMEN. Mungu ameshakupa mnyaki mwingine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…