Selfika na JF: Snap it. Show it

Wale lile panga anakabidhiwa siku akitahiriwa na lazima awe nalo na masharti ya panga lile akilitoa halirudi anakukata,asipokukata ni mwiko!yaani hawanaga masihara muraaaa!!
Duhh kumbe.. Ndiomana kunasiku tuliamka nikaona mkewe dizain kama kakatwa na kitu kama kisu maeneo ya mdomo jamani!🙆🙆🙆🙆
 
Huyo bora aliingia huko walau ile asili yao na hasira ikikutana na roho wa mungu walau inabalance madhara!
Eeeh!
Yaani kuna muda tu anaanza kulia,anaondoka zake anaenda kukaa...sababu haieleweki ,mara ooh wamechelewa kuitikia.

Ile praise team ilikuwa zaidi ya jeshi..
Imagine anafokea watu ambao hawakwenda kwenye mazoezi..huku anaweka na alama ya msonyo...
Watu kumtafuta inbobo kumuomba msamaha ndio kabisa wakaharibu
.

Kuna kipindi alikuwa mwanakamati kwenye mission zetu za injili tulikuwa tunaita outreach...sasa kuna siku ilikuwa zamu ya wadada kuosha vyombo..vyombo vikaosha,,baadaye kumbe watu wa power room wakapeleka vyombo vyao kule muda ushaenda.
Alipofika akavikuta hakutaka kujua sababu...ni kuja kufokea watu hovyo kama watoto
..kuna wengine vichwa ngumu wakanyoka nako
...wanauliza hivi nyie praise mnaishije naye,tukasema tushamzoea

Kalitoa ambush pale,wadada wote jikoni .

Aisee wakurya hii hasira wapunguze jamani.
 
🤣🤣 Naimagine simpatii picha!
 
Wakurya wadada sasa ndio moto wa kuotea mbali

Yaani utadhani kuna kiwanda cha hasira huko Mara Asee



.......
Kumbe wakaka wanatwanga eeh!
Na imagine vile sijawahi kupigwa na mzee,,halafu napata mtu ananitwanga


....
Kwahiyo dada mkubwa ukamkimbia mchuchu
 
Naimagine simpatii picha!
Kakali hako Alooo
Halafu kamesomea ualimu

Sipati picha huko darasani hali za wanafunzi wake



Sema tulishakajuaga kapo hivi,basi tukawa tunakachukulia tu hivyohivyo...
Sasa ole wenu imbeni mkosee

Huku kenyewe kakikosea utakosa "Oh sorry nimekosea,kanastopisha mziki kwa ishara na kuamuru waanze upya..sasa nyie wengine koseeni muone cha moto"
Utasikia stooop ,,wote kimbia round kumi..hapo kamenuna hako

....
Kuna siku kalinipa za uso...kalinipa wimbo nikamwambia siwezi asee
 
wanafunzi cha moto wanakiona!!
We tena cha kudekaa!alitamani akufukuze!
 
Wee bora wadada,wakaka wamezidi aseehh!wakorofi wapigaji na watata balaa!

Omba ukipata mkurya awe muungwana maana wapo wastaarabu wengi tu!
Kingine ujiandae mitala wale kwao kawaida sana!MTU ana ndoa na ana ndoa ya kimila pia!
 
wanafunzi cha moto wanakiona!!
We tena cha kudekaa!alitamani akufukuze!
Mimi nilikuwa naruka naye tu kwenye beat lake.
Akisema geuka kulia naenda,kushoto naenda.
"Kimbia piga round 30 halafu urudi uniambie kwanini huwezi"
Unakubali kujifanya mjinga ili mambo yaende...
Pamoja na utukutu wangu wote ,ila sijawahi leta utukutu kwenye kazi ya Mungu.

....
She was the best teacher,,alikuwa very smart ila hasira ilizidi ..nadhani kabila pia linachangia kwa kiasi fulani.
 
Wee bora wadada,wakaka wamezidi aseehh!wakorofi wapigaji na watata balaa!

Omba ukipata mkurya awe muungwana maana wapo wastaarabu wengi tu!
Kingine ujiandae mitala wale kwao kawaida sana!MTU ana ndoa na ana ndoa ya kimila pia!
Binamu bora wakaka aisee; mwanamke wa kikurya akiwa mtata ni balaa. Tuliwahi kuwa na jirani aitwaye mama Chacha huyo mmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…