Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mama pastor itakuwa kanikamata kwenye maombi [emoji23][emoji23][emoji23] ka disturb system
Hyo picha untumie na Pm ukiona sijalike[emoji39]Kwenye j4 nadhani..!
😀😀😀😀 achiliaNiendelee kukushikilia au nikuachilie?
Hahaahha!!;hawakuposti ila tutajua hatujui!![emoji4]Mmmmmmmmh kwaherini. Msijesababisha wananzengo wanipost humu
Wagogo na Masai pia etcHeeeeeeeeeeeh kumbe!! ninaowajua sanasana ni wakurya..ok ok.
KabisaNyie nyie jamani.. tokomeza huu ukatili [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Hata wasomi ni hivyohivyo.Hahahaaa.. ila majority of them wanachanganya sana. Sema wasomi mara chache chache huchanganya. Ni asili nadhani.
Kuna picha iliwekwa sijaona[emoji19]Na mbona unafuga ndevu kama Yesu? Ile picha umetokea kama Yesu mweusi, ulivyojizungushia na shuka usoni[emoji23][emoji23]
Yaani Mimi nawaachiaga wao wajibu maana wanabisha mpk nachekaga[emoji38][emoji38][emoji38]Mtu anabisha kwasababu ana majibu yake, dawa unamuachia jibu lake tu [emoji4][emoji4][emoji4] ilo afurahi
Kwenda[emoji19]Mama pastor itakuwa kanikamata kwenye maombi [emoji23][emoji23][emoji23] ka disturb system
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] achilia
Nimekumbuka points za effects of FGM,, Complications during delivery.. spread of diseases eg AIDS, loss of blood, death, lack of sexual excitement, separation of family, conflicts etc.!Nyie nyie jamani.. tokomeza huu ukatili 🥺🥺🥺
Kuna picha iliwekwa sijaona[emoji19]
Unamponza mwenzioNiendelee kukushikilia au nikuachilie?
[emoji23][emoji23]Eeh leo wingu liliamkia kwangu[emoji23][emoji23]
kweli kabisa sexual excitement ndio ilikuwa point namba moja kwangu 🥺🥺Nimekumbuka points za effects of FGM,, Complications during delivery.. spread of diseases eg AIDS, loss of blood, death, lack of sexual excitement, separation of family, conflicts etc.!
Hahaaa!sijui kwa nini wanahisi wote wamekeketwa ,ilinitokea Mi nilimpelekaga baba hospital siku moja ,Dk akaniuliza kabila nilivomtajia kabila langu alikataaa mpk akaenda muuliza baba!!!Watu huwa ni wabishi sana, mie huwa nawataja surname tu , ukitaja kabila hawaamini .Maana hapo ataanza kusema mbona watu kabila hilo hawapo hivi ? anauliza tena umefanyiwa FGM ?
Unamponza mwenzio
Nishamsusa[emoji19]
Wanyaturu pia wanafanyaHeeeeeeeeeeeh kumbe!! ninaowajua sanasana ni wakurya..ok ok.
Mpk Kesho wanafanya wanasema hyo ni mila kuacha ni ngumu tena huwaambii kituHivi mpaka waleo kuna wazazi wanawafanyia binti zao hio kitu??[emoji134][emoji134]