bonjour..papaa. umelamkaje ku nyumba? mu fotoo iko siku moya naweka. usimwambie mamaa sifa.wala madame olivekayibu sana mukuu,umesahau kuwekala na mu fotoo
Milele Amina. Tumeishapanga viti mkuu karibu tuanzetumsifu yesu kristo
tukasali jumuia sasa
Halleluyah🙌
Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yakeHeaven Sent
Saint Anne
Tinsley
Katika Biblia.. yote.. mstari ( mistari), sura ambayo ni favorite kwangu ni hii ( huu).. kila nikisoma kuna kitu naona.. 😥😥
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Mkawe na weeekend njema..

nakuja mkuuMilele Amina. Tumeishapanga viti mkuu karibu tuanze
Lundi merdi mercredi jeudi vandredi samedi dimacheoooh kumbe uko parc ya vilunga, chunga hapo mpk dimache ,nakuya huko .kusumbuliana na mayor wa province hy, macredi narudi kwa mlango

Heaven Sent
Saint Anne
Tinsley
Katika Biblia.. yote.. mstari ( mistari), sura ambayo ni favorite kwangu ni hii ( huu).. kila nikisoma kuna kitu naona..
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Mkawe na weeekend njema..
hahahaha uko vzr rafiki,ndo maana ,..,Lundi merdi mercredi jeudi vandredi samedi dimache![]()
Nami nitakaa nyumbani mwa Baba milele

Niko njema sana rafiki . Habari za wewe!!hahahaha uko vzr rafiki,ndo maana ,..,
umeamkaje murembo