Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 62,139
- 156,556
Banned !!!Nilikuwa sijui kama kuna kitufe cha dislike kwa sababu huwa situmii browser. Siku moja nikaingia huko nikakuta kuna jamaa kanitandika za kutosha tu halafu sasa ni kule kwenye memes uzi wa vituko. Nilishangaa kidogo kwa sababu kile ni kijiwe cha kucheka tu na kufurahi
View attachment 2081621