Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeongea kitu kikubwa sana. Ngija nitafute mood ya kuandika gazeti
Amen
Hakika hujachelewa kuweka bond nzuri na wanao , kitu kikubwa tunachokosea sisi wanawake ni kupandikiza chuki kubwa watoto kuwa baba hafai , hawapendi , etc haya maneno yanaumiza sana watoto na kupelekea psychological trauma kwa mtoto mwenyewe .
 
Hapana jamani. Kuna watu wana-sail vizuri tu. Na kuna wengine ni kulia tu tangu dating hadi ndoani. Hayana formula haya mambo. Na wengine huku kuumizwa kwenye dating kumewafanya wabaki na uchungu; hata hizo ndoa hawazitaki tena, na hata wakijilazimisha kuingia huko; nothing good will come out of them.
Sina uhakika maana sipo huko kwenye ndoa bado , tusubiri majibu ya wadau .
 

Kweli kabisa watu wanaolewa na high school sweetheart hawajaonja joto ya jiwe hata mara moja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…