Mimi mwenyewe nikiwa nyumbani huwa napenda kukaa tu chumbani hadi jioni mzee akirudi ndio natoka.
Nilikuwa naiva zaidi na baba kuliko mama...mama somehow alikuwa mkali asee kuna muda unakuta sitaki kabisa kuongea na mtu.
Asanteni kwa testimony zenu kuhusu nafasi ya baba kwa binti yake. Nitajitahidi kumpa muda mwanangu,hizi changamoto za maisha zinatuweka mbali nao sanaa. Hopefully sijachelewa, MUNGU atusaidie wanaume tuweze kupata muda na watoto na wake zetu na awasaidie wake zetu mtupunguzie maudhi mpaka tunazichukia nyumba zetu wenyewe.