Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizi indices ni noma asee. Huwa zinamwaga ugiligili na Mara nyingi huwa zinaelekea upande mmoja zote s&p, djia, dax30, Nikkei n.k Ila account iwe umeshiba haswaa
Ukiotewa unapiga kilio cha hatari sana, naitumia VIX S&P 500 kama indicator nzuri sana ya soko hasa napotaka ku trade pair za ukanda wa Asia na Europe.
 
Haya maelekezo inabidi nitembee na daftari,kichwani hayakai
 
Na kadri muda unavyozidi kwenda na majukumu kuongezeka; ndiyo muda wa kusoma unakuwa limited. Sitaki nikusimulie style yangu ya usomaji sasa hivi
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Yaani mimi ni mzembe,jamaa unakata kitabu cha pili,mimi kilekile kimoja hata nusu sijafika[emoji2356],,tena nilitangulia kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…