Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe ni mwehu kumbe?


Kisa cha kujikwaa sasa? Pokeeni tu watoto bana, si mlipanda mbegu?
 
Mwaya lia tu. Haikupunguzii uanaume wako. Just express yaself
 
Ni kweli Mkuu, huyu mmoja yeye Ada, mwingine anaomba nimnunulie Kiwanja mahali.

Sasa huyu wa kiwanja ngoja ninunue ila hati itabaki yenye jina langu πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Wewe ni mwehu kumbe?


Kisa cha kujikwaa sasa? Pokeeni tu watoto bana, si mlipanda mbegu?
Cheti cha ugumba ninacho kabisaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. maana nilivyomueleza na kumuambia sina hata pa kuishi kaa kwa jamaaa tu kwenye hostel mbona alinyoosha maelezo sio wangu alafu hata akutaka tuendelee na story 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…