Nahisi wale makomdanoo moja walihisi pia kama test ya nidhamu kwao pia walikuwa na matarajio flani ila pia nidhamu bado ipo kwao.. sio kwamba walikuwa wanyonge
Yeah huo ndiyo ukweli waliamua tu kutii sheria na kuwa wapole hawakutaka kuleta ukorofi! Wanafikiri wale makomandoo wangeamua kufight back hao mapolisi wangebaki?
Yeah huo ndiyo ukweli waliamua tu kutii sheria na kuwa wapole hawakutaka kuleta ukorofi! Wanafikiri wale makomandoo wangeamua kufight back hao mapolisi wangebaki?
nilikuwa pia na ndoto hizo mpaka niliandika kwenye master plan na kwenye wallpaper niliweka picha ya gari husika, results!? niko selfika nasubiri kuwaona kina mahondaw ndo usingizi uje..
mkuu 9.8ms squared on a serious note naomba muongozo kama unavyonipa kuhusu RM napata wapi mwanamke wa kiafrika yaani kuku wa kienyeji kama huyo hapo kwenye nguo ya kitenge!? yaani ntalipa mahari wiki hii hii dah..