Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata mimi nawashangaa raia kwenye hii ishu ya kina Kingai na wale makomandoo eti wanawakejeli wanajeshi na kuwasifu hao mapolisi wahuni kisa waliwapiga wale makomandoo hadi wakaanza kulia kama watoto. Huwa nasoma nasema tu hiiiii yaani polisi ni wa kujisifia kuwa wao wako juu kimafunzo kuliko makomandoo wa jwtz?
 
Nahisi wale makomdanoo moja walihisi pia kama test ya nidhamu kwao pia walikuwa na matarajio flani ila pia nidhamu bado ipo kwao.. sio kwamba walikuwa wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…