Selfika na JF: Snap it. Show it

sie acha tuendelee kupambana aseee.. nataka gari ya $ xxxK.. na sehemu pa kuipata hiyo hela ni huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nilikuwa pia na ndoto hizo mpaka niliandika kwenye master plan na kwenye wallpaper niliweka picha ya gari husika, results!? niko selfika nasubiri kuwaona kina mahondaw ndo usingizi uje..
 
nilikuwa pia na ndoto hizo mpaka niliandika kwenye master plan na kwenye wallpaper niliweka picha ya gari husika, results!? niko selfika nasubiri kuwaona kina mahondaw ndo usingizi uje..
Ulikuwa na haraka sanaaaa mkuu.. mie ku withdraw hela ni hadi mwezi wa 12.. kwa mwaka natoa hela mala moja mzeee..
 
Ulikuwa na haraka sanaaaa mkuu.. mie ku withdraw hela ni hadi mwezi wa 12.. kwa mwaka natoa hela mala moja mzeee..
sasa mkuu mtu unategemea uishi kupitia FX unatarajia nini!? naingia kupambana angalau nipate chakula cha family na nilikuwa na spirit kali sana ya kuukimbia umaskini lakini odds hazikuwa upande wangu..
hiyo ya withdrawing mara moja kwa mwaka maana yake una plan A,B,C,D..
 
Sure, na sio kila biashara huwa inakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…