Selfika na JF: Snap it. Show it

haahah mkuu kuna ubaya gani kuinspayiana aisee..
 
hapana Pendael24 sio domo zege, ila ana kuheshimu sana na ana upendo wa dhati toka uvunguni wa moyoni mwake.. hata zamani baba zetu waliwatuma baba zao kuelezea hisia zao kwa wapendao.. ni utaratibu tuu 😊😊😊
Kijana Mpambe weeeeeπŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ‘ˆ!!! Hakika utafika umechoka sanaaaa🀣🀣🀣🀣!
 
sahii nafanya tangible things bhana FX imenipandisha ndege na nashukuru sana ila for now sitaki kupata pressure ya kuvumilia number nyekundu trade ikienda against ni msala..
😊😊😊 hii simpe sana ku manage, tumia lot size. ambayo ni resonable.. zingatia RM unaweza fungua zako position ukaja angalia kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…