we jamaa unafanya huu msala!? tena GBPJPY noma sana..
af usitutishe weka lot tembo tukuone kiwango cha uvumilivu tupia 1.0 lot na hivi GBPJPY pips zake ni za tofauti..
eeeh! akupambanie aseee.. anatia huruma mwaume mwenzetu, kafa kaoza kwako.. huku PM kila saa saa ananiambia nielezee hisia zake kwako.. anahisi akikuambia utaona kama anakuvunjia heshima.. ila ndio ivyo kafaa sanaa.. inabidi umfufue aseeβΊοΈβΊοΈ

Risk Management muhimu.. sishindani na mtu kutengeza pesa au kupoteza.. nimetumia sana standard lot.. nikaonaga upuuzi.. haina maana kwakua una balance upoteze pesaa.. lazima kuwa mchungu kwenye kupoteza.. ππππ

πππ.. serious, sio na connect ni kweli jamaa muungwana sana, hana makuu.. sio kwasababu kafa kwako.. ila ndio alivyo chekianeni mpeane madini ππ