Same language cousin.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Niliwahi kuingia nao kwenye taharuki mwaka 2016, yaani nipo sehemu nimekaa na washikaji kitaa mida saa tano asubuhi, tukashangaa ghafla defender imetia breki.
Kamanda wao akaamrisha tuingie kwenye gari kwa kosa la kunywa pombe ( bia) kabla ya muda ( enzi hizo haikuruhusiwa kunywa mpaka ifike saa kumi jioni). Nilishangaa sana maana tulikuwa tumekaa tu kumbe kuna tupu ( chupa) ya bia iko pembeni na sisi.
Wenzangu wakakubali kuingia mi nikakataa maana sikuwa na kosa, sijakaa sawa akaja mmoja eti anataka kunikamata, nikamdaka mkono na kimsukuma huko! Basi bhana sijakaa sawa wakaja wawili nikawadaka wote! Akarusha ngumi mmoja nikakwepa nikamrukia yule mwingine nikamtwisha hook punch.
Walikuwa kama nane hivi wengine walikuwa na chuma( SMG/ak 47).
Nikamvuta mmoja tena nikachana shati lake ( hakuvaa sare). Mzuka ukapanda niliwachezeshea mkono. Wale wenye bunduki wakakaa standby wakaniamuru nijisalimishe ( wala hawakuweka chamber risasi) nikawatukana.
Raia walijazana huku wakiwazomea hao polisi. Akaja mmoja tunafahamiana akaniomba niache. Akili ikarudi kuwa nimeharibu, nikapanda kwenye gari wakataka kuanza kunishambulia nikawaambia nitawavunjavunja na hizo silaha zenu ( wakatulia huku wamechakaa vumbi)
Tumefika kituoni nikaamuliwa kuvua mkanda ili niwekwe sero, nilipoutoa tu wakaanza mkanda huu umetoa wapi? Nikaawambia kwani unapatikana wapi?
Wakanywea; hahaha wakaniachia bure na knuckles wamekula.
Uliona unichanie mkekaa eeeh 🙄🙄🙄.. haya bwana 😜😜
Wana habari yangu kwenye mojawapo ya lounge kwenye mji mkuu wa serikali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Niliwahi kuingia nao kwenye taharuki mwaka 2016, yaani nipo sehemu nimekaa na washikaji kitaa mida saa tano asubuhi, tukashangaa ghafla defender imetia breki.
Kamanda wao akaamrisha tuingie kwenye gari kwa kosa la kunywa pombe ( bia) kabla ya muda ( enzi hizo haikuruhusiwa kunywa mpaka ifike saa kumi jioni). Nilishangaa sana maana tulikuwa tumekaa tu kumbe kuna tupu ( chupa) ya bia iko pembeni na sisi.
Wenzangu wakakubali kuingia mi nikakataa maana sikuwa na kosa, sijakaa sawa akaja mmoja eti anataka kunikamata, nikamdaka mkono na kimsukuma huko! Basi bhana sijakaa sawa wakaja wawili nikawadaka wote! Akarusha ngumi mmoja nikakwepa nikamrukia yule mwingine nikamtwisha hook punch.
Walikuwa kama nane hivi wengine walikuwa na chuma( SMG/ak 47).
Nikamvuta mmoja tena nikachana shati lake ( hakuvaa sare). Mzuka ukapanda niliwachezeshea mkono. Wale wenye bunduki wakakaa standby wakaniamuru nijisalimishe ( wala hawakuweka chamber risasi) nikawatukana.
Raia walijazana huku wakiwazomea hao polisi. Akaja mmoja tunafahamiana akaniomba niache. Akili ikarudi kuwa nimeharibu, nikapanda kwenye gari wakataka kuanza kunishambulia nikawaambia nitawavunjavunja na hizo silaha zenu ( wakatulia huku wamechakaa vumbi)
Tumefika kituoni nikaamuliwa kuvua mkanda ili niwekwe sero, nilipoutoa tu wakaanza mkanda huu umetoa wapi? Nikaawambia kwani unapatikana wapi?
Wakanywea; hahaha wakaniachia bure na knuckles wamekula.
Una vidole visafi sana
😀😀😀😀😀.. Dawa naona iliwaaingia vizuri sanaaaa.. ndio maana humu kuna ile issue ya kina Kingai najisemea kimoyo moyo tu, jamaa waliamua kuwa watii maana hawakujua lengo la jamaa kuwafataa.. ila ulichowapatia ndio wangepewa tena maradufu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Niliwahi kuingia nao kwenye taharuki mwaka 2016, yaani nipo sehemu nimekaa na washikaji kitaa mida saa tano asubuhi, tukashangaa ghafla defender imetia breki.
Kamanda wao akaamrisha tuingie kwenye gari kwa kosa la kunywa pombe ( bia) kabla ya muda ( enzi hizo haikuruhusiwa kunywa mpaka ifike saa kumi jioni). Nilishangaa sana maana tulikuwa tumekaa tu kumbe kuna tupu ( chupa) ya bia iko pembeni na sisi.
Wenzangu wakakubali kuingia mi nikakataa maana sikuwa na kosa, sijakaa sawa akaja mmoja eti anataka kunikamata, nikamdaka mkono na kimsukuma huko! Basi bhana sijakaa sawa wakaja wawili nikawadaka wote! Akarusha ngumi mmoja nikakwepa nikamrukia yule mwingine nikamtwisha hook punch.
Walikuwa kama nane hivi wengine walikuwa na chuma( SMG/ak 47).
Nikamvuta mmoja tena nikachana shati lake ( hakuvaa sare). Mzuka ukapanda niliwachezeshea mkono. Wale wenye bunduki wakakaa standby wakaniamuru nijisalimishe ( wala hawakuweka chamber risasi) nikawatukana.
Raia walijazana huku wakiwazomea hao polisi. Akaja mmoja tunafahamiana akaniomba niache. Akili ikarudi kuwa nimeharibu, nikapanda kwenye gari wakataka kuanza kunishambulia nikawaambia nitawavunjavunja na hizo silaha zenu ( wakatulia huku wamechakaa vumbi)
Tumefika kituoni nikaamuliwa kuvua mkanda ili niwekwe sero, nilipoutoa tu wakaanza mkanda huu umetoa wapi? Nikaawambia kwani unapatikana wapi?
Wakanywea; hahaha wakaniachia bure na knuckles wamekula.
Kwamba umeapa kutokutana na member yoyote wa JF nje ya jukwaa?seme kweli[emoji2][emoji16][emoji16][emoji16] sikuwezi wewe.. uzuri nimejikuta sasa hivi napigwa dana dana na warembo wa jf kuonana nao, huku na mie nimeapa kutokutana na member yoyote wa jf nje ya jukwaani [emoji23][emoji23][emoji23]tunaanzia hapa tunaishia hapa
Shusha nawe asee.. mkuu Saguda47 kanifurahisha sana.. nahisi walibaki kituoni wanajilaumu walichofanyaWana habari yangu kwenye mojawapo ya lounge kwenye mji mkuu wa serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliona unichanie mkekaa eeeh [emoji849][emoji849][emoji849].. haya bwana [emoji12][emoji12]
ama kweli huu ni mwaka wa T 1990 ELY , mambo mazuri mazuri yote yanaelekea kwake.. dah! Namtamani aseee... Msalimie sana muambie mwaka wake wa kula mema ya nchi 😁😁😁😁Kwamba umeapa kutokutana na member yoyote wa JF nje ya jukwaa?seme kweli[emoji2]
Kwa nini Warembo wanakupiga Dana dana Mzee? Mimi nipo Usukumani huku na jirani yangu T 1990 ELY karibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sanaa, ndio dawa yao hao jamaa.. wanakosa sana maadili ya kazi zaoTulitofoutiana tukamaliza palepale kwa simu ya kawaida tu, wakafutika.
kwa mdogo wako, sijui ulimuambiaje tu, nikakaa siku ile dom hadi asubuhi namsubiri lakini waaaapi ☺️☺️☺️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkeka Upi huo tena? Nikumbushe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulizingua big time..Mdogo wangu ukampanga katokea huonekani[emoji2]kwa mdogo wako, sijui ulimuambiaje tu, nikakaa siku ile dom hadi asubuhi namsubiri lakini waaaapi [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Mimi huyu jamaniii 😐😐..Wewe ulizingua big time..Mdogo wangu ukampanga katokea huonekani[emoji2]
Halafu unalalamika Warembo wanakupiga dana dana[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nitamfikishia salamu..ama kweli huu ni mwaka wa T 1990 ELY , mambo mazuri mazuri yote yanaelekea kwake.. dah! Namtamani aseee... Msalimie sana muambie mwaka wake wa kula mema ya nchi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeona eeeh! na siku ile umeniweka mlimani kumbe upo zako na T 1990 ELY .. daaaaah!!! mnakula sato majirani eeh☺️☺️☺️
habari mkuuHahahaaa[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Ubarikiwe sana rafiki 🙏