Kashaija jana nilifika katavi naona barabara safi kabisa .. kwenye lile pori la kutokezea mpanda kuna sehemu ilikua mbaya sana walirekebisha mwaka jana kwa kuweka lami. Sijajua ya huko mbele kuelekea sumbawanga na mbeya ikoje!