Well saidWanaotuumiza ni wale tunaowaamini sana, huwezi kumwamini mtu kama hujamfanya kuwa rafiki. Unamwamini hadi kumkopesha milioni kadhaa na kuamini zitarudi...au unampa na kusahau kama ulimpa 500k atatue mambo yake.
Tatizo ni pale unamfanya mtu kuwa so close, anapata majanga unaona aaah huyu si mtu muhimu sana kwangu, ngoja nimpe hata 2m atarudisha, weeeee....majibu unayo!
Pesa inaweza isiwe issue, snitching kwangu ni issue kubwa. Unaishi na rafiki kunguni, anachukua hili anapeleka kule analeta huku anavuruga tu, siku ukijua it's late. Choose your friends with care aisee!!
hahahaha.nimekutumia pma,tazamamtu chake fanya himaaa!! 😜 Selfika aseeh
Fisher🤣Huyu ni wewe kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hallelujah🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Mkuu Ely 90 ni mwema sana mpole na mcha mungu! Yani unakaa kama uko kwako na funguo anakukanidhi! Unakula unakunywa unalala salama salmini kabisa huku usiku ukisindikizwa na maombi!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣✌️✌️✌️ Wasukuma ni hatareee.... Mpo vizuri mnoooo mnoooooooo! Huo ugali wa mtu mmoja sio!! 😜😳😳Mbona mnataka kuninenepesha tenaaaaa jamani Nina oparesheni maintain- mwili mjuee !Pole na safari ...
Nafurahi kuwa umeonja ukarimu wa Wasukuma. Na hapo bado hujafika kijijini sasa. We acha tu!
View attachment 2077415
Kikongo si kikongo..kinigeria si kinigeria yani ni full mwaya mwayaUsinikumbushe zile mbwembwe zangu[emoji23][emoji23]
safi sana🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Mkuu Ely 90 ni mwema sana mpole na mcha mungu! Yani unakaa kama uko kwako na funguo anakukanidhi! Unakula unakunywa unalala salama salmini kabisa huku usiku ukisindikizwa na maombi!
tumsifu yesu kristoAmen
Abarikiwe sana kwakweli!safi sana
🤣🤣🤣🤣 Milele amina. Vipi unaselfika hata mkono tu nami nitupiemo!!!????tumsifu yesu kristo
Kikongo si kikongo..kinigeria si kinigeria yani ni full mwaya mwaya
sanaAbarikiwe sana kwakweli!
Sweet heart [emoji176]
Huyo dada ndio atakuwa mwanakamati mwenyekiti.Nitakuja kwenye harusi ya Saint Anne
Selfika pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!🙏sana
tupia tu.wkt nikijiandaa kutupia.🤣🤣🤣🤣 Milele amina. Vipi unaselfika hata mkono tu nami nitupiemo!!!????
Chaaah😂😂😂Weka funguo itafunguka
muda bd rafikiSelfika pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!🙏
Weeeeeehhh mi muhenga u hunidanganyii haha!!tupia tu.wkt nikijiandaa kutupia.