CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
AmenWakuu.
Japo hatujuani lakini tunaishi kama ndugu. Na hakuna kitu cha thamani kama kuombewa na kutakiwa mema na mtu usiyemfahamu. Maombi ya aina hii huwa na nguvu sana kwa sababu huwa ni maombi ya kweli yasiyo na ajenda wala mawaa.
Napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mlioniombea na kunitakia mema; na uponaji wa haraka. Japo Covid hii (tena Delta mwenyewe) ilinijia kwa nguvu sana lakini kwa maombi yenu na upendo wa Mungu nimepona. Bado tu kakikohozi ka mbali lakini hata nikikimbia kifua hakiwaki moto kama hapo kabla...na viuchovu uchovu tu vya hapa na pale. Kwa jina la Yesu naamini kuwa nimeshapona [emoji1545]
Sikuweza kumjibu mmoja mmoja lakini kwa umoja wenu napenda sana kuwashukuru mno 9.8ms squared, Heaven Sent, mahondaw, Makiwendo, Saint Anne, T 1990 ELY, Tinsley, Gregory 2000, Karma, Kashaija72, Chakorii na mawardat.
Asanteni sana wapendwa na Mungu Awalinde na kuwabariki sana. Hapa nilipo ni kama naishi peke yangu lakini kupitia kwenu nilijiona kama nina jeshi kubwa la watu wanaoniombea na kunitakia mema.
Hebu Mungu Akatubariki sote na mwaka huu mpya ulioanza ukawe wa mibaraka tele; na kila mmoja wetu akaweze kutimiza ndoto zake na malengo aliyojiwekea.
Nawashukuru sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2075249
Wine ni juice au ni pombe?Nimehamia kwenye wine..
Hahahahahahahaha kumbe mwana ni ww? huu uzi mpk sasa umenisaidia
Ugonjwa wanguu[emoji7][emoji7]
Red bull?Ugonjwa wanguu[emoji7][emoji7]
Miguu ya wanawake hahahaRed bull?
Shkamoo kaka!![emoji849]
Pole sana Mdogo wangu😆Hata rada zangu hazisomi kitu.
Dah kubet kazi sana[emoji16]
Blackk mu HB kabisa!Dogo kanataka konyagiiView attachment 2077239
Imenitokea mimi kupewa connection Na rafiki nikatoboa Na ndugu yangu niliyemwamini akanipiga chini.Wacheni Mungu aitwe Mungu.kwenye maisha yangu yote ya hapa duniania nitakuwa natoa Kwa wahitaji 💯Inaweza ikawa kweli au sio kweli pia. Leo kuna watu wengi tu ambao wameinuliwa na marafiki zao, wakati ndugu zao walikuwa na uwezo wa kuwasaidia and yet waliwatelekeza. Mungu akikujaalia ukampata rafiki mwema; unakuwa umejipatia kitu chema sana.
Tena la churchGauni la kitenge
Wapo ingawa ni wachache Ila ukiwaona ni kama wanafanana.Hadi umpate huyo rafiki was kweli hapo ndio mtihani ulipo, manake watu wamekuwa na roho mbaya sana siku hizi.
Mwambie huyoWapo wengi tu ,sema hujawajua bado .
Habari za leo rafiki ?
Sura yako haiendani na bia😂Dogo kanataka konyagiiView attachment 2077239
Nihurumie nitajie basiPole sana Mdogo wangu😆
Don worry my dear. Have faithNaogopa sana kuvuka majini kwa chombo chochote kile!View attachment 2077260