Selfika na JF: Snap it. Show it

@mahondaw Barabara ya kutoka Tabora sijui Uyui mpaka Chunya siyo nzuri. Na hasa kipindi hiki Cha mvua Kuna sehemu maji yanatiririka barabarani. Bora uzunguke Dodoma- Iringa - Mbeya.
Huki kote nitampeleka akitokea mwanza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.. ya kupitia Sikonge vipi?
 
Sasa na wewe Shimba Ya Buyenze kwa Nini unaishi peke yako kwenye nchi iliyojaa rasilimali mpaka zenyewe zinatafuta wa kuzimiliki?
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…