Dooh sijui kweli [emoji3064][emoji3064]Tutawasiliana nkamu
Kumbe moro kuna 8 8?Hivi kuna mkoa mwingine wenye nane nane zaidi ya Morogoro?
Haha na wapo humu humu jf? Hao hawafai kabisa asee!
Dooh sijui kweli [emoji3064][emoji3064]
Basi kumbe ni mimi tu ndiyo nimekosa hiyo bahati [emoji3064][emoji3064]Daah wapo wengi tu
Daaah acha niwe mpole tu [emoji19][emoji19]Unanikata vibe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa hapa Africa. Najaribu kwenda AFCON kama wife atakubali. UniombeeWapi hiyo mwanangu? Mido isti au?
Bestyyyy sijui nikusalimie??Unanikata vibe[emoji23][emoji23][emoji23]
HuaminikiπππUnanikata vibe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamsalimie mwamba SalahHapa hapa Africa. Najaribu kwenda AFCON kama wife atakubali. Uniombee
Safii ποΈποΈποΈ
Saint vitenge
Sauti ni πππ inamshusha Roho kabisaaa.. na mie yani.. inabidi siku mona tukajifiche mahala tuimbe tuuu
Hakuna tofauti na kutuma nauli na kusubiria mtoto aje lakini hatokei..Hahahahahahaha
Mkuu umewekwa maboya???
Bahati yako ipo nkamu, relaxBasi kumbe ni mimi tu ndiyo nimekosa hiyo bahati [emoji3064][emoji3064]