Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi napenda kuwasifia tu ila kuwa nao kwenye mahusiano hapana kwa kweli. Wagumu wagumu ndio wenyewe.
 
Wanaume weupe wana hali fulaani hivi, siwezi kumbishia huyo, tena wanaejuaga ni wachache sana, na wale wafukunyuku sana.

Vipi nitoboe siri hiyo?
 
Mimi kukua kwangu kote na mashost zangu tulikuwa tunawa-admaya tall dark guys. Teh muda wa uhalisia sasa ulivyofika, ila sidhani kama kuna any of my friend ana mume mweupe; kwenye u-tall sasa teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…