Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
ππππ... Chimbo hilo.. kuna kipindi hadi walinikalili wakahisi nafanya biashara ya madini.. kama mkakati tu.. wa mda mrefu πππUlikataa kwenda Malaika? Basii stop telling people you were in Mwanza. Lol
Me Nililala pale, umaskini mbayaa mdogo wangu. Nilitamani kusikuche ' breakfast nilitamani nikaazime tumbo huko nje.
Mwaka mzima niweke hela ili nikalale tu huko Malaika?Jipange mwaka mzima, ukakae wiki..
utafurahii.. napapenda sana.. njoo tuta share chumba mwezi ujao
Kwa sie wabongo lazima ujiachange kidogo ukitaka kula holiday.. ama nasema uongo Depal View attachment 2073611
! Kila la kheri shooo!!! Kijana aache visingizio hahaha!! Ooopsss nimesahau nimesema leo sitii menoo
πππππππ.. muwe na hurumaaNdyoooooooh
Holiday sio ukalale tu.. ππππMwaka mzima niweke hela ili nikalale tu huko Malaika?
mdada asie kuwa na tumbo namuona kama mgonjwa tu.. ππUna utani na cocastic sio???π€£π€£π€£π€
Saint Anne kulala pale ni laki 3 na 20.Jipange mwaka mzima, ukakae wiki..
utafurahii.. napapenda sana.. njoo tuta share chumba mwezi ujao πππ
Kwa sie wabongo lazima ujiachange kidogo ukitaka kula holiday.. ama nasema uongo Depal View attachment 2073611
π€£π€£π€£π€£ nimegusa kitambi changu.mdada asie kuwa na tumbo namuona kama mgonjwa tu.. ππ
hupendi mahandasome boy? Basi nichague Mimi wa kawaida mtakatifu
Mungu awape nini..
Ila mimi siwataki aisee,,mwanaume anakuwa mzuri kuliko mimi hapana kwa kweli.
Mweee unanitisha??
Subiri nikatize ile mitaa,,,utashangaa nakuja naye kukusalimia
Nasikia mkitembea nao njiani mnasalimia Kwa kuniamni snMa-handsome wana raha
πππ Na ndio hata wazungu wengi hufanya hivyo.. anakuwa na mkakati kwamba mwaka huu naenda sehemu flani.. anatunza kiasi kile kile cha pesaaa.. hapa mtu unajipanga mwezi wa sita naensa sehemu flanii unaweka kibubu.. ungekaaa executive ndio ππππSaint Anne kulala pale ni laki 3 na 20.
Chips plain ndogo ' honestly huwezi shiba sh. 8000 ' papper stake unamudu banaa, tilapia unamudu.
Jipange mwaya ' January to December unajaza kibubu cha kutosha kuji'enjoy kabla hujarudi kwa muhindi kuendelea kupigika.
Ulikataa kwenda Malaika? Basii stop telling people you were in Mwanza. Lol
Me Nililala pale, umaskini mbayaa mdogo wangu. Nilitamani kusikuche ' breakfast nilitamani nikaazime tumbo huko nje.
Hawawapagi show za maana.. show za maana tunazo wababe πππNasikia mkitembea nao njiani mnasalimia Kwa kuniamni sn..Ndugu yako Saint Anne siyo chaguo lake
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na wewe si ndo walewale wenye dimpo wakati mimi sina hata ya kusingizia.hupendi mahandasome boy? Basi nichague Mimi wa kawaida mtakatifu..Kwanza wote wapole alafu watu wa church
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nasikia mkitembea nao njiani mnasalimia Kwa kuniamni sn..Ndugu yako Saint Anne siyo chaguo lake
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kipapase pase.. utasikia rahaaa.. unaweza pitiwa na ka usingizi hapo hapo πππ€£π€£π€£π€£ nimegusa kitambi changu.