Selfika na JF: Snap it. Show it

Natia aibu basi tu najikaza.
Wee huko rock city umekula sana sato na samaki wengine,

Mwenzio nilivoenda field huko, nlivorudi nlifutuka had baadhi ya nguo zilibana, nkaanza kuchekwa kibonge, kila mtu alikua ananishangaa, wee nkasema hapan kurud home had watu wananshangaa, nkaanza mambo yangu now niko bombaa sanaaa.

Unene, kitambi, nyama uzembe kwangu mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…