Nakuja wallaqh πKaribu PM. ππππ
Acha uwoga bana,unasomeshaa baadae ndoa,ili aje anisababishie murder case hunitakii mema wewe..
Hahahahah bwana wee yani wananionea ila tu napata wakati mgumu ku deal na wapuuzi flani wanaojifany praise team ya mazaNaona walikupeleka Golgotha teh. Uache utundu
Kg 43 kweli? Jitahidi huo mpakato uhamie behind [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Na kg 43 kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] natakiwa kufanya kitu HS, hii sio sawa.
Jomoneeeh Mie nimepewa kila kitu, ila dimpoz tyuuh nimenyimwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikiwa mkubwa wallah ntatafuta pesa lazima niende ughaibuni nikaweke dimpoz, Dimpoz nazipenda sana, ktk kizaz chetu watoto 4 wana dimpoz. Mie nimenyimwa. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787]majanga mlongo[emoji23]
Ukipiga tukio,unadakwa fasta
stovu ,hii kwa sisi wazee
Baki tu huku na kwenye magari huko kwingine lazima Herode akunyoosheHahahahah bwana wee yani wananionea ila tu napata wakati mgumu ku deal na wapuuzi flani wanaojifany praise team ya maza
Nimechekaaa π€£π€£π€£π€£Kg 43 kweli? Jitahidi huo mpakato uhamie behind [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa dogo hilo tumbo umelitoa wapi?πView attachment 2073276
Imagine π₯π₯
Na tumbo huwa lina kiherehere jamaniView attachment 2073276
Imagine [emoji26][emoji26]
Bora nibakie huku kwa wasupu huenda mkanipunguzia machungu siasa ya bongo imejaa keroBaki tu huku na kwenye magari huko kwingine lazima Herode akunyooshe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuja wallaqh [emoji23]
Ki frijiπView attachment 2073276
Imagine π₯π₯
Kule siasani hadi huwa natamani kunyonga watuππππHahahahah bwana wee yani wananionea ila tu napata wakati mgumu ku deal na wapuuzi flani wanaojifany praise team ya maza
Hahahahah sio upinzani ugumu ni pale mtu anapotetea uharo na kuuita ni pudding ya papai πKule siasani hadi natamani kunyonga watuππππ
Kumbe kuwa mpinzani ni kazi hivi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wiii tafadhari fanya haraka mazoezi, wee had tumbo limekata matuta? Mie sitaki hebu fanya namna tumbo liwe flat bhana.View attachment 2073276
Imagine [emoji26][emoji26]
mbona vitambi vinawependeza sana, hasa mkiwa mmechomekea ππNa tumbo huwa lina kiherehere jamani
Na mimi nilijua tu ban ameipatia kule.,kule kunahitaji moyo wa chumaπ,,huwa napita nasoma mitifuano ya watu nacheeeka.Baki tu huku na kwenye magari huko kwingine lazima Herode akunyooshe
[emoji7]View attachment 2073276
Imagine [emoji26][emoji26]
Nimetoka nalo Mwanza πSasa dogo hilo tumbo umelitoa wapi?π