hiii comment nimeiona huko.............................;"
Kuna hatari mbele ya Tanzania ambayo ni 666. Ndugai ni spika wa Sita katika orodha ya maspika wote ambaye amejiuzulu nafasi yake kama spika wa bunge tarehe Sita kwenye awamu ya Sita (666) ni ishara ya kuwa makini na hatari iliyopo mbele ya Tanzania. Chunga mazingira yaliyo kuzunguka."
Jirani nina new number π naomba ukanitafute tunapochezaga maana juzi kati nilikuita sanaaa na picha juu ukanivungia π€¨ ikabidi nikalie inbobo kwa kaka mzuri.
hiii comment nimeiona huko.............................;"
Kuna hatari mbele ya Tanzania ambayo ni 666. Ndugai ni spika wa Sita katika orodha ya maspika wote ambaye amejiuzulu nafasi yake kama spika wa bunge tarehe Sita kwenye awamu ya Sita (666) ni ishara ya kuwa makini na hatari iliyopo mbele ya Tanzania. Chunga mazingira yaliyo kuzunguka."
Pole sanaaa.. asubuhi ilibidi nimuwahishe kwenye interview.. badae akitoka haooo.. ila hatujafanya kitu kabisaa ποΈποΈποΈποΈποΈποΈ
Yaan humu saiv watu wanaweka picha na kufuta, sisi wenine tuko buzzy na mambo mengne nje ya humu, sasa tukija tunakuta manyoya tyuuh kuku ashaliwaa lol,