Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mwenye amevaa hiyo saa mbona niko naye hapaaa...au ni wewe?!Ya relo mbona? Nyingine hii hapa View attachment 1229505
Mwenye amevaa hiyo saa mbona niko naye hapaaa...au ni wewe?!Ya relo mbona? Nyingine hii hapa View attachment 1229505
Humu unaweza kuitwa mgumba kumbe una watoto wa kutosha tena wenye afya zao.I was showing off maana tunachukuliana poa sana humu ndani.
Asante cute.

.Nikutumie picha?!mbona simuoni
Me sijamboMarahaba mama, ujambo wewe..?
Umemaliza kila kituHumu unaweza kuitwa mgumba kumbe una watoto wa kutosha tena wenye afya zao.
Unaweza kuitwa single mother kumbe una mume na anakupenda na anakujali.
Unaweza kuitwa mal. aya unajiuza nk.. Kumbe una maisha mazuri tuu ambao hao wanaokuita kwao ni maisha ya ndoto zao.
Unaweza kuitwa jobless kumbe una ajira tena ya kudumu ambayo kuiacha ni siku ya kustaafu.
Kifupi huku ndivyo tulivyo baadhi yetu.

.
Fanya maarifa basi furaidei ndio hii ujue.... Na hali ya hewa kama unavyoona inahamasisha....Humu unaweza kuitwa mgumba kumbe una watoto wa kutosha tena wenye afya zao.
Unaweza kuitwa single mother kumbe una mume na anakupenda na anakujali.
Unaweza kuitwa mal. aya unajiuza nk.. Kumbe una maisha mazuri tuu ambao hao wanaokuita kwao ni maisha ya ndoto zao.
Unaweza kuitwa jobless kumbe una ajira tena ya kudumu ambayo kuiacha ni siku ya kustaafu.
Kifupi huku ndivyo tulivyo baadhi yetu.

Me sijambo
Hali ya hewa inahamasisha kuchoma mahindi huku tumelizunguka jiko eeh. Raha sana.Fanya maarifa basi furaidei ndio hii ujue.... Na hali ya hewa kama unavyoona inahamasisha....![]()
Huyu ni piere liquid???😂😂😂😂Pweza beach View attachment 1224892
Sure kabisaaa.....Humu unaweza kuitwa mgumba kumbe una watoto wa kutosha tena wenye afya zao.
Unaweza kuitwa single mother kumbe una mume na anakupenda na anakujali.
Unaweza kuitwa mal. aya unajiuza nk.. Kumbe una maisha mazuri tuu ambao hao wanaokuita kwao ni maisha ya ndoto zao.
Unaweza kuitwa jobless kumbe una ajira tena ya kudumu ambayo kuiacha ni siku ya kustaafu.
Kifupi huku ndivyo tulivyo baadhi yetu.
Sure kabisaaa.....
Nilijisikia vibaya sana waliokua wanatoa mapovu kwa zile picha za wale wadada wawili zilizotumwa humu......
Mtu unajiuliza hawa ni rijali kweli ama
Leo baada ya kazi...View attachment 1226705
Karibuuu unaziweza hizo?Daaaaaah hatari sana
Wapi hiii aisee