Kaka shemeji itabidi leo unitoe dinner.
Sikumuelewa dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa kwanini umemjibu hivyo??
Hiyo picha ya mwezi janaFurahidei View attachment 1229424
Unishtue wikiend ndio hii.Laja... Na mpunga utakuwa mrefu [emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba mama, ujambo wewe..?Wakubwa shikamoni
[emoji3]na mimi nataka kumuona msikose kuni tagHivi Kiduku Lilo ametupia?
Unafanana na yule jamaa wa kwenye video ya Gwiji boy.
hahahhaaha umeonaa eeeeh
Msifunge PM jamani, mnatupa wakati mgumu mabaharia wa kike
Jiandae leo furahi daiKaka shemeji itabidi leo unitoe dinner.
Hahah, nimefanan na yule Baunsa.Unafanana na yule jamaa wa kwenye video ya Gwiji boy.