Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Handsome boy asiyekuwa na matunzo Cc: Khantwe
View attachment 1226334
Mimi ni Handsome boy nisiye na matunzo. Naomba kama kuna mdada atakaependa kunitunza namkaribisha PM,
Beberu%20Mwitu.jpeg

Pia yeyote atakaependa kuiona hii picha yangu full, karibu PM
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya...

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...

Solution hii HAPA sasa.... Utashangazwa na matokeo yake...!!!

.. Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani... Fanya hivi..! hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
Chief hii picha yako upande wa kulia mbona kama una ziwa hivi
tapatalk_1570533325502.jpeg

 
Back
Top Bottom