Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti samahani kidogo hizi nyimbo haswa za dini au injili zipo kwaajili ya kutubu rudisha sisi ama kumburudisha Mungu, maana tunazijudge kwa vionjo vyetu?
 
Preach MOG
Refer:
Isaya 14:13
Nawe ulisema moyoni mwako,....

Mungu anaangalia wazo.. Pumzi ya mwanadamu ni taa ya Bwana.. pia neno liasisitiza.... tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo....

Angalia sana unachowaza.. ndio. maana hata kuzini.. ni pale unapo tazama kwa tamaa na ukaanza ku process.. tayari ni action.. ulimwengu wa roho... wazo ni object..
 
Unaweza kuhukumiwa kwa wazo mkuu? Samahani lakini
 
Unaweza kuhukumiwa kwa wazo mkuu? Samahani lakini
Lucifer alipigwa chini ila kuwaza tu kumchomoa Mungu kwenye enzi yake.. Wazo ni kama mbengu, huwezi fanya jambo lolote pasipo kuanzia wazo.. unacho ona mtu anafanya.. ni. matokeo ya wazo ambalo aliwaza then akali meng'enya kwa ubongo wake hadi likapata nguvu ya kutendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…