Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Weee nilinenepa mpaka nikajiogopa nilikua naelekea 80 kgs mwanamke hapana hapana!! Nguo zote zakuongeza niliongeza mpka mwisho zisizoongezeka niligawa mweh!! Saivi nimepungua sana nanguo zinanitosha fresh sema kakitambi fulani ndo hakataki kuondoka!!Unataka umbo la chicken chicks? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]