Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaan wanaume wa sampuli hizo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Na wanakua na mguu wa mtoto ktk suruali zao, na show za kibabe wanatembeza, yaan wanapeleka motooo hadi vinyevushaji vinaacha ushirikiano, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa... Pia kuna walee shortii fulani hivi aaaawwwwwwwwww!!!!! Unaeza wadharau hakii ukiingia 18 zao utakiona chamoto!! Mungu wangu 🤭🤭 ntaunguza chakula buree!😁
 
Kabisaa hata usijaribu, ila jaman mwanaume awe mrefu, mwembamba afu mweusi flan iv, awe na ndevu za kichokozi, mie huwa navurugwa kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachaaa🤣🤣🤣
 
Kweli utafika umechoka mno KHH amin usiamini
Si umeona eeh.. acha tu, nipo kitanda nautathmini tu😂😂😂
Screenshot_20220104_125747.jpg
 
Back
Top Bottom