Wamshukuru tu keeper wao na washukuru katikati tulikuwa wabovu.
Hata hivyo nafasi ya pili tunaenda kukaa sisi maana hao chelsea wanaenda kutandikwa na kipara.
Ninayo boksi zima. Nilikutana na mtu mmoja alikuwa anayafanyia kazi alipomaliza akaniachia. Huwa nayapitia basi naishia kucheka tu. Yapo pia ya Bongo na Tabasamu. Nitakuletea hata matano