Selfika na JF: Snap it. Show it

Jana

Nimeenda kukata nywele lakini nimejuta kwanini nimezikata maana ZIMEHARIBIWA.

Nimeingia gharama nyingine ya kutengeneza kiwigi.hakuna namna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole mama ila jiamini tu maisha yenyewe ndiyo haya haya! Kwani nawe nywele zako zinaanzia kati kati ya kichwa kama za kwangu?
 
Mi nilipishana nayo. Hata sasa najifurahisha tu bado sijaiona. Jinsi nilivyo na hasira nafikiria hata kupumzika JF kabisa. Nimechemsha balaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706]

Halafu walioibahatisha wanavyoringa sasa dah!
Pole kakweli๐Ÿ˜hata Mimi ninajipa moyo tu sina namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ