Selfika na JF: Snap it. Show it

Huna lolote Mtumishi, wewe na Anne mna mbwembwe kwenye hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeambiwa sina lo lote dah!

Haya Mtumishi ila nimepambana mpaka picha nimeipata. Hapa nina furaha hatari kwa sababu kupata picha yako iliyopiganiwa kwa miaka na miaka haikuwa rahisi Mtumishi. Najiona kama nimeshinda lottery fulani hivi
 
Aah wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeambiwa sina lo lote dah!

Haya Mtumishi ila nimepambana mpaka picha nimeipata. Hapa nina furaha hatari kwa sababu kupata picha yako iliyopiganiwa kwa miaka na miaka haikuwa rahisi Mtumishi. Najiona kama nimeshinda lottery fulani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…