Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kwaherini, wewe ni shuhuda kwamba niliselfika



Ukute kuna watu pamoja na kutagiwa watapitwa![]()


Ukute kuna watu pamoja na kutagiwa watapitwa![]()




Dah mkuu hiki chakula umenitamanisha sn asee
Unakula msosi huku unajenga nguvu za kiume![]()
Unataka nianze kuokota makopo barabarani? Hapa tu bado naongea mwenyewe nikikumbuka matukio ya wajumbeNaliona shavu la mkono. Bwana akuepushe na kunizaa mwaka huu![]()




Unataka nianze kuokota makopo barabarani? Hapa tu bado naongea mwenyewe nikikumbuka matukio ya wajumbe
Dada mtu huyo hapo
View attachment 2065507
Shikamooni wajumbe, ahsanteni kwa kuninyooshea hiki kiumbe.
Dada amepaka hinna jamani, wasalimie sana
Mimi nimeshamaliza. Labda tena mpaka New Year's eve Mungu Akituweka hai Boss Lady. Uliyoselfika basi ilinipita. Haina neno!God is good rafiki 2022 is so mmmuaaaahhh!! Niliselfika mara moja tu rafiki!!! Vipi ushatupia msukuma au mida ya shift kam kauwa??
Na imenipita kweli dah!. Saint Anne nikija kwako utanipa? Nahitaji mno kumuona Mama MchungajiUkute kuna watu pamoja na kutagiwa watapitwa![]()
Nifanyeje ili kuipata picha yako Mtumishi? ImenipitaHapana hii ni hobby yenu, wengine hatuiwezi




Mimi mwaka huu nimestaafu.Hapana hii ni hobby yenu, wengine hatuiwezi
kwa imani tutafika tu mkuu,,🙏Kesho nayo ni siku msukuma usiwaze! Muwe na usiku mwema wanaselfika 🚶🚶🚶🚶🚶!!Mimi nimeshamaliza. Labda tena mpaka New Year's eve Mungu Akituweka hai Boss Lady. Uliyoselfika basi ilinipita. Haina neno!
AmenHappy new year selfikaz 😘
2022 ikawe ya baraka na mafanikio tele... View attachment 2065516
Kuna watu wanaanza kupitwa mapema namna hii tar 1 hii hii😂😂😂Kwaherini, wewe ni shuhuda kwamba niliselfika![]()
Unataka nianze kuokota makopo barabarani? Hapa tu bado naongea mwenyewe nikikumbuka matukio ya wajumbe
Dada mtu huyo hapo
View attachment 2065507

Sijamuona heptheee![]()