Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Mtihani huo, kwa hio niwe online 24hrs kutoka sasa kabdaHahah! Uwe online huwa ntatupia sana mbona!

Mtihani huo, kwa hio niwe online 24hrs kutoka sasa kabdaHahah! Uwe online huwa ntatupia sana mbona!

Mambo yaliingiliana kidogo lee Changu.Umeadimika changu li
Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!!Mtihani huo, kwa hio niwe online 24hrs kutoka sasa kabda![]()
Mwaka nimeuanza vizuri nisiwe muongoMambo yaliingiliana kidogo lee Changu.
Unaendeleaje lkni..habari ya mwaka mpya..
Ndio hivyo ukichungulia unakutwa imefutwa!Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!!
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni Kwa hiloMwaka nimeuanza vizuri nisiwe muongo
Haha ..huwa inakaa muda mrefu sana ndio nafuta!Ndio hivyo ukichungulia unakutwa imefutwa!
Niko jf mwaka wa nane sasa sijawahi kulala njaa kwa sababu yake!Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!!
Mbona kama vile wengi wetu hatujiamini tunafuta etiHaha ..huwa inakaa muda mrefu sana ndio nafuta!
Haha I meant muda mwingi ukikaa tu humu utashindwa kufanya shughuli nyingine mida mida uwe unaingia sio kushinda mazima!Niko jf mwaka wa nane sasa sijawahi kulala njaa kwa sababu yake!
Mkuu unachora picha za malipo labda
Tatizo sio kutojiamini tatizo usalama! Jf kichaka huwezi jua!Mbona kama vile wengi wetu hatujiamini tunafuta eti
Sidhani, kwa inocent hapaswi kuogopa!Tatizo sio kutojiamini tatizo usalama! Jf kichaka huwezi jua!
Nilikuwa nachora tu kujifurahisha!Mkuu unachora picha za malipo labda
Yaani hapo utafanya nikupende milele daima wallahOne day nitakununulia kreti nzima then mi nikuangalie ukiwa unazinywa!![]()

Kumbe hunipendi wakati tumeagizwa kupendana?! Ukija Dar nitafute!!Yaani hapo utafanya nikupende milele daima wallah![]()



Nilikua nataka unichoree moja hivi, lakini hongera bro imejaliwa kipaji sio kila mtu ana kipaji aiseeNilikuwa nachora tu kujifurahisha!
AhsanteNilikua nataka unichoree moja hivi, lakini hongera bro imejaliwa kipaji sio kila mtu ana kipaji aisee


kipindi nipo shule nilikuwa mchoraji kinara...kadri siku zinavyokwenda mkono unakuwa mzito sahv...tatizo umri.