Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Try Jumbo or Munchy! Ila don't be expecting much....kwa hiyo price you won't be getting anything fancy!Naomba unifahamishe japo moja, nina mpango wa kwenda ndani ya mwaka mpya!
Try Jumbo or Munchy! Ila don't be expecting much....kwa hiyo price you won't be getting anything fancy!Naomba unifahamishe japo moja, nina mpango wa kwenda ndani ya mwaka mpya!
hizi ni za short time au 😎😎Yeahh...zipo za 40k....
Nakuona mkuuu 😊😊Amen..Amen Satoh..
Ni ikawe hivyo IJN..
Uwe na mwaka mpya mwema kwako..Mafanikio na Baraka zikawe pamoja nawe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia Selfie ya kuanza 2022 pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Anyone ambaye yupo musoma muda huu, tuonane tufurahie ukaribisho wa mwaka pamoja…
Sie tupo vijijini huku maporini tunaona Soo kujiselfieMsisahu kuselfika!
Haa jiamini rafiki bana selfika basi! Sote asili yetu vijijini mjini tumevamia tu! After all selfie ni selfie haijalishi mahaliSie tupo vijijini huku maporini tunaona Soo kujiselfie
Mh! Wewe!Haa jiamini rafiki bana selfika basi! Sote asili yetu vijijini mjini tumevamia tu! After all selfie ni selfie haijalishi mahali
Dah! Leo na mood sana ya kuwa mwanza viunga vya The Cask.. acha nione hadi jioni itakuwaje.. ukanda wa huko huwa nauelewa sana siku kama hiziAnyone ambaye yupo musoma muda huu, tuonane tufurahie ukaribisho wa mwaka pamoja…
Asante na kwako pia heri ya mwaka mpya wewe na familia yako!Mh! Wewe!
Heri ya mwaka mpya lakini
✌️Tunangoja ugeuke!Kijana mwenye kipara chake cha mahesabu ya uvuvi
View attachment 2064853
Asante sana, natumaini siku kama ya leo 2023 tutatakiana tena heri ya mwaka mpya na shuhuda za mazuri na maendeleo na hatua nyingi nzuri utakazopata mwaka huu.Asante na kwako pia heri ya mwaka mpya wewe na familia yako!
Aimeeeeeeeennnnnnn! 🙏Mungu ni mwema! Haya tupiapo basi!Asante sana, natumaini siku kama ya leo 2023 tutatakiana tena heri ya mwaka mpya na shuhuda za mazuri na maendeleo na hatua nyingi nzuri utakazopata mwaka huu.
Hiyo yatosha 😬😬😬✌️Tunangoja ugeuke!
Sauwaaa!✌️✌️Hiyo yatosha 😬😬😬
Sijui kwa nini si wanaume ni wazito kwenye hilo, tuanze kwako labdaAimeeeeeeeennnnnnn!Mungu ni mwema! Haya tupiapo basi!

Hahahaaa...🏃🏃Sijui kwa nini si wanaume ni wazito kwenye hilo, tuanze kwako labda![]()