Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie huwa nawaangalia tuu!
Kumbe ndiyo maana huwa hauongei chochote?? Basi mie nikajua unakaa kimya sababu huwa unayasapoti haya mafurushi!![emoji23][emoji23]lakini pia hata kukaa kimya nako ni busara usiwe mbishi kama dada yako hapa[emoji1787][emoji1787]maana kubishana na mafurushi nako yataka moyo mkubwa kama wa nyangumi
 
Back
Top Bottom