Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Ya kawaida sana..picha za beach watu wako picnic na maeneo yanayoendana na hayo wanapiga sana, picha ya kawaida mnoo
Vipii kuhusu makabila yanayo acha maziwa wazi?Siyo ya kawaida, hiyo ni tafsiri ya kwamba mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume.

