Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Sura yangu inawea kufanya Server zika Stuck....Nataka nikuone hapa
Sura yangu inawea kufanya Server zika Stuck....Nataka nikuone hapa
Sio kila picha ni ya kuanika mtandaoni!Mbona wanaweka hata bure...kikubwa ni mood ya mtu tu na umbo lake liruhusu
Hatuweki suraSura yangu inawea kufanya Server zika Stuck....
Unataka niweke nn labda..Hatuweki sura
Aisee siweziBasi tunaomba tuone hiyo kawaida
Imeombwa na Elkiurei kutoka Karatu
KidoleUnataka niweke nn labda..
Pole sana mana naamini huli mzigo masiku haya
Sio kila picha ni ya kuanika mtandaoni!
Na sio kila mtu anaweza kuweka picha za hivyo mtandaoni, ndo maana mkaweka dau!
Vidole vyangu vilivyokomaa kwa kugonga mawe si vitawatapikisha watu..Kidole
Vidole vya mwanaume vinapaswa viwe vimekomaa sio nyoronyoro I don't likeVidole vyangu vilivyokomaa kwa kugonga mawe si vitawatapikisha watu..
Hapo sawa Babe'. Nishaweka zipo mbili zitafuteNawewe uweke.....View attachment 1227492

Msameheni kigori kaamka nazo leo.Sio kila picha ni ya kuanika mtandaoni!
Na sio kila mtu anaweza kuweka picha za hivyo mtandaoni, ndo maana mkaweka dau!
haka katoto katakuwa katoto ka kanisani miksa kwaya😂😂😂 miaka 30 ukijumlisha na uliyonayo unatoka huko kikongwe
Hapo sawa Babe'. Nishaweka zipo mbili zitafute![]()
Oooh yeeeesHahaaaaaaaa kama hivi..View attachment 1227503
Kweli zipoBabe mm aitaki kwakweli labda uniwekee hapa hapa..
Msameheni kigori kaamka nazo leo.