Selfika na JF: Snap it. Show it


Asante Karma. Unaweza kufafanua kidogo kuhusu hiyo observation yako ya mayutong?

 
Na wote tuseme Amin..
Nimeomba na nimelia sana baada ya kuona wapendwa wetu waliobaki nyuma.


Nimeomba kwa uchungu mno,
Mungu ameachilia furaha,,sasa ni zamu yetu..
Hakuna atakayeishia njiani tena..

Maombi haya nayaachilia kwako pia Kaka mkubwa.
Mungu akaipe furaha familia yenu..akaondoe huzuni na kilio na mwaka huu ukawe tofauti kwenu,hakuna atakayabaki njiani tena
 
Amin Anne! Tuombeane furaha, upendo, afya njema na amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…