Nanii Wigelekelo amesema eti kuwa anahisi we ni manzi yangu kweli kweli...Hebu mjibu kwa neno moja tafadhali!Haki kumbe Mimi ni manzi yako Na hujanifanya nijue..haki sijapenda hii tabia Extrovert π
Game of thronesπGame ya nini [emoji3][emoji3]
Aje chap na kwa harakaNanii Wigelekelo amesema eti kuwa anahisi we ni manzi yangu kweli kweli...Hebu mjibu kwa neno moja tafadhali!
Mwambie aendelee kuhisi tuNanii Wigelekelo amesema eti kuwa anahisi we ni manzi yangu kweli kweli...Hebu mjibu kwa neno moja tafadhali!
Hatuna mahusiano kabisaAje chap na kwa haraka
13mb ni picture or video, btw I like Malindi & Lamu. One day yes
Picha....13mb ni picture or video, btw I like Malindi & Lamu. One day yes
Nimeshaacha....
Jumapili nakuja Mbweni karibu na ile nyumba iliyopo eneo lilojitenga!Niko Mbweni JKT mkuu karibu [emoji846][emoji846][emoji846]
Hivi Zanzibar kuna hotel ama guest za bei rahisi? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Miguu mizuri sana[emoji8][emoji8][emoji8], haki sipati picha vile ulivyo mzuri. Mamndenyi yaani nakupenda hadi naumwa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Vile ukizeeka kumbe miguu nayo yazeeka. View attachment 2064194
duh...
Kuna jina la member mmoja hivi limejitokeza hapo! [emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2064237Bye Bye 2021[emoji85]
Ohoo nilidhani Malindi ya Kenya, napenda Sana ingawa sijafika. Duuuh Ila simu yako inabeba mb nyingiPicha....
Hii simu ina mbwembwe si kidogo [emoji3061][emoji16] Sema the quality is [emoji1476]
That's in Kenya right??? Hii ni ya kamtaa tu Zanzibar.
Wee mzee tuma selfie ya kumaliza 2021 jamani mwaka unaisha bila bila kweli?[emoji15][emoji849]duh...
Tuma Selfie ya kufunga mwaka rafiki..plan A imefeli...sasa Plan B ..mwana aliyekaribu na 255 lounge, tusubirie mwaka
Lipi hiloKuna jina la member mmoja hivi limejitokeza hapo! [emoji15][emoji15][emoji15]
hahaha...eti eeeh ..umenikumbusha..ngoja niite mpiga fotooTuma Selfie ya kufunga mwaka rafiki..