Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona Mtumishi katika Bwana...kazi nzuri..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure huyo binti yupo attacked na marine spirit, anahitaji msaada wa rohoni, na akilini pamoja na mwilini. Ni issue serious kweli sema watu wanaangalia katika jicho la duniani.. ila sie wazazi tunajua
 
Wacha Bwana...[emoji23]

Binafsi hizo video sijaziona.nasikia tu habari za soda..Kwa hiyo sina ninachoweza kusema ndugu Mzazi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha Bwana...[emoji23]

Binafsi hizo video sijaziona.nasikia tu habari za soda..Kwa hiyo sina ninachoweza kusema ndugu Mzazi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mie nilitumiwa hizo video kwenye simu na mtu, huwa sipendi picha za utupu nilipo nikafuta hapo hapo nadae naona habari tena kama siku mbili au tatu.. ndio nikajua binti ana hitaji msaada. kwa mtu alie sawa hawezi ingiza chupa ukeni au nyumani.. kuna kitu hakipo sawa kwa huyo binti anahitaji msaada wetu sie wazazi
 
Duh!!!! Kama ndiyo alivyofanya basi anahitaji msaada mkubwa hasa wa kiakili...
Wewe kama Mzazi msaidie huyo Binti..Mtoto wa mwenzako ni wako[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!! Kama ndiyo alivyofanya basi anahitaji msaada mkubwa hasa wa kiakili...
Wewe kama Mzazi msaidie huyo Binti..Mtoto wa mwenzako ni wako[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni kama binti yangu nasikia uchungu, ni mtoto wa mama na baba pia ni dada wa mtu.. navaa viatu vyao. Soon nafika asee eneo husika
 
Back
Top Bottom