Pole sana.Vipi hali
Ahsanteni,baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo
Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii
Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu
Location MBINGA lusonga.
🤣Kila mtu na kichwa chake kwa kweli
Saint Anna sio pombe Bali ni digestive enzymes, alisikika akiongea mpenda pombe nyepesi!Mama mtumishi hanywi pombe tafadhali
Pesa tunza lakini usiache kula.View attachment 2059607
Hivi jamani mnawezaje kutunza fedha??
Maana mimi nikizipata huwa naskia harufu ya mishkaki na kuku sekela inanukia kila sehemu!
Hivi hii bado hujaigawa tu?Sasa hii naipeleka wapi?
Hebu kuweni na huruma kidogo,kuna mtu ametoa elfu 10,600/=View attachment 2059705
AminPole sana mawardat, nimechelewa kuiona hii post!
Allah awaondolee huzuni zenu, awape liwazo katika kipindi hiki cha huzuni mnachopitia na amsamehe marehemu makosa yake na awajaalie janat iwe ndio mafikio ya wazazi, ndugu jamaa na marafiki zetu waliotangulia mbele ya haki! AMIN AMIN THUMMA AMIN
Mama mtumishi atakaa kwenye KlymaxSaint Anna sio pombe Bali ni digestive enzymes, alisikika akiongea mpenda pombe nyepesi!
🤦♀️🤦♀️Hivi hii bado hujaigawa tu?
I thought my wish was your command! 😞
Nakualika mwaka mpya.Sasa wewe badala unialike kiumeni hapo temeke umeniacha tu kweli Moud.
Mwaka mpya nialike wewe.
Afadhali umenisapoti mkuuSaint Anna sio pombe Bali ni digestive enzymes, alisikika akiongea mpenda pombe nyepesi!
Hakika kula cha kujifunza na mimi nimejifunza hapaRAIS ALLY HASSAN MWINYI.
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 1983 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama Waziri.
Ilikuwa shida kidogo maana waziri aliyeondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka kutoka na Natepe.
Ikampasa Mzee Mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya Serikali.
Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya Serikali. Kweli mzee Mwinyi akaviacha akaondoka.
Baada ya miezi kadhaa tu Mzee Mwinyi akateuliwa kuwa Rais wa Zanzibar.
Natepe wakati ana jifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia Mzee Mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwa kuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea Mzee mwinyi.
Mzee Mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua Baraza la Mawaziri akamteua tena Natepe kuwa Waziri pale pale mambo ya ndani.
Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe siyo kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.
Siku moja Mzee Mwinyi yupo Ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu. Mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie??
Ndipo akaambiwa umetoka kwa Natepe Mzee Mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Hapa kuna somo kubwa Sana. Ubaya hulipwa kwa Wema na Maisha hayana Mwalimu.
Kwa ujumbe huu nazi kujifunza mengi.
uwe na siku njema...rafiki
#Kalamu_Ya_Mti_Maarifa.
ASOMAYE na AFAHAMU.
Asante Moud.Nakualika mwaka mpya.
Kuanzia Desemba 29 uwe hapa TMK
Saasawa mama mtumishi.Mimi naona angetafutwa mhusika au mtu anayefahamiana naye ..iwekwe namba hapa watu watatuma huko na kusiwepo na haja ya kutangazana.
Naona umehamia kwa kijani kibichi baba mtumishi🤣Saasawa mama mtumishi.
Wadau wanashauri huyo jamaa asiwe na tabia kama za yule kijana anavaa shati la mikono mirefu la rangi ya majani majani.