Pole sana mawardat, nimechelewa kuiona hii post!
Allah awaondolee huzuni zenu, awape liwazo katika kipindi hiki cha huzuni mnachopitia na amsamehe marehemu makosa yake na awajaalie janat iwe ndio mafikio ya wazazi, ndugu jamaa na marafiki zetu waliotangulia mbele ya haki! AMIN AMIN THUMMA AMIN