Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Boxing day ni siku ya kufanya nini soulimeti? Mimi nafikiri ni siku ya masumbwi ama?
😂😂 yes salimeti kama hujapewa zawadi yoyote kwako itakua siku ya masumbwi tu mixer mitama maana huna faida😂, ila kama ukiletewa hiyo flower kama ya Mahondaw hiyo kwako tunaita happy boxing day😂
 
yes salimeti kama hujapewa zawadi yoyote kwako itakua siku ya masumbwi tu mixer mitama maana huna faida, ila kama ukiletewa hiyo flower kama ya Mahondaw hiyo kwako tunaita happy boxing day
Asante kwa ufafanuzi. Lakini siyo kweli eti usipopewa zawadi ndo huna faida. Faida unajipa mwenyewe tu na Mungu wako. Kutegemea kupewa faida na wanadamu ni kujiweka mtegoni kisaikolojia ila nimekuelewa sana!

Happy Boxing Day & New Year soulimeti
 
Ntakutumia binamu ingawa ntashona cha hukoo juu!Mimi chini ntabanaa!!!maana kupoteza pande tatu kwa mshono mmoja noo!
Nakuelewa bina. Em kaa humu kwanza
Screenshot_2021-05-31-19-02-19-1.jpg
Screenshot_2020-07-10-00-14-21-1.jpg
FB_IMG_1635798045178.jpg
Screenshot_2020-07-07-13-27-43-1.jpg
Screenshot_2020-06-03-23-34-29-1.jpg
Screenshot_2020-06-07-21-34-03-1.jpg
Screenshot_2020-06-13-18-12-08-1.jpg
Screenshot_2020-06-07-21-34-52-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha tu rafiki bosi barikiwe maradufu kwakweli!!! View attachment 2058861
Ukiwa boss lady bila shaka vitu kama hivi unakuwa ushavizoea tu. Na kwa level yako hayo "maua" hayakupaswa kuwa ya kienyeji (madafu)...kama ulivyofanya kwenye birthday fulani uliyowahi kum-wish bosi fulani humu. Nakuaminia boss lady
 
Asante kwa ufafanuzi. Lakini siyo kweli eti usipopewa zawadi ndo huna faida. Faida unajipa mwenyewe tu na Mungu wako. Kutegemea kupewa faida na wanadamu ni kujiweka mtegoni kisaikolojia ila nimekuelewa sana!

Happy New Year soulimeti
Ni kweli Salimeti ila huwa tunatania tu hii boxing day tuliofungua milango home badala ya zawadi. Wote tuna faida mbele za Mungu.🤔

Happy new year in advance too Salimeti
 
Back
Top Bottom