Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wajuvi hiki kinafaa kushona kweli???View attachment 2058594

#Boxingday
ujue kushauri kabla hujaona umbo husika itakua urongo jaman,kuna maumbo/kimo hayafai/havifai hata kwa bahati mbaya kushona baadhi ya mishono.

Niambie kaumbo kako nikupe code zakushona hiyo kitu usahau kwenda dukani kununua nguo tena kwa namna watavyokua wanakusifia.
 
😁😁Wananijua humu sampo wanazo nishatuma fotos zakutosha!!
 
ujue kushauri kabla hujaona umbo husika itakua urongo jaman,kuna maumbo/kimo hayafai/havifai hata kwa bahati mbaya kushona baadhi ya mishono.

Niambie kaumbo kako nikupe code zakushona hiyo kitu usahau kwenda dukani kununua nguo tena kwa namna watavyokua wanakusifia.
Wapendwa...Anyone to describe me pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!🤷🤷
 
Back
Top Bottom