donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule rastaman nini? Wakikuzingua tena siku nyingine waambie we mdogo wake Bigi CDOWale mabaunsa hiyo siku nipo na financial services wakamzingua wakasema ni mwanachuo
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Mapishi ndo yanaanza sasa. Krismasi ya kwanza bila ugali...Wanyaki wote karibuni ila tu mje na maparachichi pulizi. Vingine vyote mtavikuta [emoji16][emoji16]
View attachment 2057492View attachment 2057493
Huku kwetu ndizi zikatoke zimekula vumbi kwenye kenta za Mwakaleli,hadi kufika mjini ziko fiii[emoji23][emoji23][emoji23].Daah wenzetu vyakula vyao visafi hadi raha na vimebandikwa stickers kabisa ila huku kwetu sasa [emoji2297][emoji2297]
Tupo tunafungua na kufunga nyavu za dirisha.Vipi huko mnafungua mabox ya zawadi au na nyie mnafungua tu madirisha kama mimi[emoji3][emoji3][emoji3]
Tupo tunafungua na kufunga nyavu za dirisha.
Kwani wanachuo hawaruhusiwi pale?![emoji2][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]Wale mabaunsa hiyo siku nipo na financial services wakamzingua wakasema ni mwanachuo
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Mambo ya baunsa tuuuKwani wanachuo hawaruhusiwi pale?![emoji2][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
kipenziShimba Ya Buyenze (daddy i love you)
Mshana Jr (anko i miss yoooo)
Saint Anne (cha ubishi)
mtu chake (kipenzi)
RRONDO (ohooo)
Karma (ile filingi tunayo kwa rrondo)
cocastic (kipendhi i missd yo)
Jack Palladino (shem darling...)
Mjep (brother mambo ni ajeee)
Heaven Sent (bwana asifiw m.mchungj
The Wolf (nakukubaligi sana)
The Monk (nakukubali mno)
na wengine wooooteee ambao sijawataja kwa haraka haraka.
Merry Christmass & Happy New Year
[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]yaani nnakokaa Mimi na chalinze nyama,kama wa mbagala aende goba![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi twende chalinze nyama mkuu
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]